Kafie mbele huko!! kazi yako ya kufagia kwa wahindi isitupe taabu... Tangu lini Mhindi akaipenda Tanzania? Asilimia kubwa ya hao uliowataja wanapassport zaidi ya tatu... Katiba ni kwa maslahi ya watanzania sio wahindi...
Lakini usichojua ni kwamba wanamiliki zaidi ya asilimia 85 (>85%) ya Uchumi wetu, kwa maana nyingine wewe hauwezi hata kujenga nyumba bila ya wao kukuzia kitu, hauwezi hata kuvua Samaki bila ya wao kukuuzia Nyavu, hauwezi kununua aspirini Dukani bila ya wao kukuuzia, wakati wewe unapoteza muda tangu asubuhi kuangalia Bunge, wenzako wanachapa kazi na wanazidi kujiimarisha kiuchumi na kujiwekea mazingira mazuri pamoja na vizazi vyao vijavyo! Ndio Ujumbe wangu, fikiria hilo!

Asubuhi kwenye post fulani nilikuahidi kukupeleka MIlembe,tiketi iko tayari jiandae.
acha ubwege wewe reserch umefanyia wapi? hakuna ofisi haina tv hapa mjini iwe ya mzungu mhindi au mswahili mbona bank zile za wazungu hata barclays zina tv na wameendelea? zuzu wewe
kwel wewe ni kijakaz wa wahindi ndo mapaka umekuwa na mahaba kiasi hicho? hata kama unapalilia kazi angalau uwe basi na utaifa....so nawe kuwa mafagiz wa wahindi unajiona kama mhidni? umelewa nini? bagia wanazobakiza ?pole sana maana umetoka msalani kuaharisha mabaki ya bagia na kachori za wahindi umerud kuja kutapika humu jamii forums
Huo utafiti wako umeufanyia wapi ndugu yangu? Nina mashaka na hizo figure zako..
Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!
!
Unataka wahindi wakutengenezee katiba au?
Huo utafiti wako umeufanyia wapi ndugu yangu? Nina mashaka na hizo figure zako..