Plot4Sale Wahi viwanja vya Kibaha manispaa vinaelekea mwishoni

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,808
Reaction score
2,728
Naomba wale woote mloomba niwape taarifa viwanja vya Manispaa Kibaha vikianza kuuzwa. Taarifa Rasmi vimetangazwa tu, na kuisha ,Viko kando ya hospitali ya Wilaya, Kama unatokea Mbezi ,Ukifika picha ya ndege,Kulia kuna bara bara mpya ya lami kuelekea hospitali kuubwa ya ya wilaya. Nimewahi viwanja viwili tu mlivoomba viwashikie.Ndo viwanja pekee viko mjini ndani ya manispaa. Mradi unaofuata ni kuelekea Bagamoyo,mbali mnoo.

PIGA 0713 039 875 MNAOHITAJI VIWANJA KUANZIA MILIONI 3
 
Kimebaki kimoja ,Lami imefika hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…