Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,585
- 2,419
Naomba wale woote mloomba niwape taarifa viwanja vya Manispaa Kibaha vikianza kuuzwa. Taarifa Rasmi vimetangazwa tu, na kuisha ,Viko kando ya hospitali ya Wilaya, Kama unatokea Mbezi ,Ukifika picha ya ndege,Kulia kuna bara bara mpya ya lami kuelekea hospitali kuubwa ya ya wilaya. Nimewahi viwanja viwili tu mlivoomba viwashikie.Ndo viwanja pekee viko mjini ndani ya manispaa. Mradi unaofuata ni kuelekea Bagamoyo,mbali mnoo.
PIGA 0713 039 875 MNAOHITAJI VIWANJA KUANZIA MILIONI 3
PIGA 0713 039 875 MNAOHITAJI VIWANJA KUANZIA MILIONI 3