Zumi Designers
Member
- Apr 29, 2018
- 7
- 8
Ndio Boss, mteja ndo unatoa mawazo yako harafu sisi tunayafanyia kazi. Tunarudia kama haujaridhika mpaka uridhike. Karibu Boss.Hyo logo inakidhi mahitaji ya mteja? Like, nakwambia nataka iweje??
Asante mkuu.Safi, soko linazidi kukua sasa
Yeah tuko pamoja kiongozi, piga kazi kuna watu walishafanya logo designing kuwa biashara ngumu kwa kutoza bei za juu ajabu as if tuko enzi za ujima.Asante mkuu.