mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
pamoja mkuu nakucheki dakika 0
Galaxy s5 nitapata?
Ndo wewe tunachat mwiso namba yako 77?
Sony experia v3+ nikupe kiasi fan I?Itapatikana mkuu
Sony experia v3+ nikupe kiasi fan I?
Nakupa iPhone 4s na laki tano cash unipe hiyo note 4
Kama inalipa nicheki PM
Phone sold asee guys
nimekuulizia hiyo Sony xperia v3+ inatokaje?
Hiyo ni sony experia z3 kaka si v3
Ngoja nikomae na Tecno kwanza.
kaka ipo v3+ aisee! Just ingia GSM arena utaiona. ni nzuri kwa kiasi chake..
Android 4.4.2..