Wahi sehemu mapema maeneo ya Palm Village Mall

Wahi sehemu mapema maeneo ya Palm Village Mall

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,632
Reaction score
5,023
Wajasiliamari, wazee wa Food point, mihogo point, juice bar, pizza point, Modern Carwash, Gadgets, Barbershop, Movie pack, Restaurant nk

Sehemu ya around Palm Village Mall mikocheni warioba unaenda kuwa business centre kubwa na strategic hapa DSM zaidi ya MlimaniCity biashara za aina hiyo nyingi pale Mlimanicity wanapata pesa all time ila kwasasa kupata eneo pale Mcity kazi sana kama una Marengo ya miaka 3..5 mbele hii eneo lakuweka biashara yako sasahivi kama lijawa well occupied.

Palm Village Mall ndio itakuwa Mall kubwa na yakisasa kuliko Mall yoyote hapa Tanzania na sehemu ile karibu yake kuna Mall nyengine Mikocheni Mall.

Kaweke biashara yako leo kabla ujachelewa.

Portfolio | 2020
 
Back
Top Bottom