M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 11, 2012 #1 wana jf nimeona niwaletee taarifa ya kiwanja kinachouzwa maeneo ya Salasala Dar kwa bei ya 6.5m tu. Ukubwa wake ni 25 kwa 22 mawasiliano ni 0712232849
wana jf nimeona niwaletee taarifa ya kiwanja kinachouzwa maeneo ya Salasala Dar kwa bei ya 6.5m tu. Ukubwa wake ni 25 kwa 22 mawasiliano ni 0712232849
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Sep 11, 2012 #2 Salasala iko wapi katika Dar???? Kigamboni, Mbagala au?????? Dadavua zaidi kama kimepimwa au laaah!!!!
Salasala iko wapi katika Dar???? Kigamboni, Mbagala au?????? Dadavua zaidi kama kimepimwa au laaah!!!!
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 11, 2012 Thread starter #3 Mzee wa Rula said: Salasala iko wapi katika Dar???? Kigamboni, Mbagala au?????? Dadavua zaidi kama kimepimwa au laaah!!!! Click to expand... salasala ni maeneo ya mbezi beach . Hakijapimwa
Mzee wa Rula said: Salasala iko wapi katika Dar???? Kigamboni, Mbagala au?????? Dadavua zaidi kama kimepimwa au laaah!!!! Click to expand... salasala ni maeneo ya mbezi beach . Hakijapimwa
Mzani Member Joined Nov 12, 2010 Posts 80 Reaction score 5 Sep 11, 2012 #4 mwananyiha said: salasala ni maeneo ya mbezi beach . Hakijapimwa Click to expand... Hiyo Salasala ipo mbezi beach ipi? na kiwanja kipo km/m ngapi kutoka barabara kuu?
mwananyiha said: salasala ni maeneo ya mbezi beach . Hakijapimwa Click to expand... Hiyo Salasala ipo mbezi beach ipi? na kiwanja kipo km/m ngapi kutoka barabara kuu?