Wahi desktop cpu 2.8 ghz 90000/=

Wahi desktop cpu 2.8 ghz 90000/=

mkuu tunasubiri data tufanye uamuzi. Fafanua bidhaa zako tuchague.
 
weka maelezo zaidi , na bila kusahau mawasikiano..
 
ukiona hivyo ujuwe ndiyo zile zile za RAM 512 MB, HDD 40 GB Processor ya 1.4ghz
 
Toa full specs zake tafadhali yan ram?hdd?n.k
processor 2.8 ghz.....ram 256mb.......hard disk 40gb.....unaweza kuongeza ram ukihitaji mwenyewe...aina ya dell gx 270 za kulala...zinapiga kazi hata kwenye umeme mdogo.....mpaka sasa zimebaki mbili tu.......vilevile nauza flat screen 18 inch nyeusi kwa 70000/= tu.
 
anayehitaji seriously anitumie meseji kwenye pm au email ammarandu@gmail.com.....ili tumuandalie vizuri kabisa mzigo wake.....nitampa namba ya simu mtu huyo pasi na shaka...karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom