ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 May 16, 2023 #121 Tayana-wog said: Na kweli nimelifukua🤣. Natafuta Uzi wa Verossa ,humo ndo Kuna ma legend Click to expand... verosa upo sana endelea kuufukua utaupata tu
Tayana-wog said: Na kweli nimelifukua🤣. Natafuta Uzi wa Verossa ,humo ndo Kuna ma legend Click to expand... verosa upo sana endelea kuufukua utaupata tu
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 May 16, 2023 #122 Ushimen said: Nimejikuta nawakumbuka wahenga hawa... Mama Jr Paloma Click to expand... mmh kuhusu paloma sijui kama utampata hapa yuko ulaya hahaaaaaaa
Ushimen said: Nimejikuta nawakumbuka wahenga hawa... Mama Jr Paloma Click to expand... mmh kuhusu paloma sijui kama utampata hapa yuko ulaya hahaaaaaaa
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 May 16, 2023 #123 Stephen Ngalya Chelu said: Valentina sijamuona muda mrefu sana, kipindi hicho najiunga jf alikuwa hot sana. Nakusalimu mkuu. Click to expand... Valentina waitwa huku wamekukumbuka sana
Stephen Ngalya Chelu said: Valentina sijamuona muda mrefu sana, kipindi hicho najiunga jf alikuwa hot sana. Nakusalimu mkuu. Click to expand... Valentina waitwa huku wamekukumbuka sana
G guest-1790917349 Guest May 16, 2023 #124 ladyfurahia said: verosa upo sana endelea kuufukua utaupata tu Click to expand... Sijaupata...mara ya mwisho niliuona Halafu ume editiwa sana hata haunogi
ladyfurahia said: verosa upo sana endelea kuufukua utaupata tu Click to expand... Sijaupata...mara ya mwisho niliuona Halafu ume editiwa sana hata haunogi
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 May 16, 2023 #125 Tayana-wog said: Sijaupata...mara ya mwisho niliuona Halafu ume editiwa sana hata haunogi Click to expand... hahaaaaaaaa mwenye nao kaona auedit ili watoto wa kizazi hiki wasijeshangaa mama/baba zao tulikuwa tukichatije
Tayana-wog said: Sijaupata...mara ya mwisho niliuona Halafu ume editiwa sana hata haunogi Click to expand... hahaaaaaaaa mwenye nao kaona auedit ili watoto wa kizazi hiki wasijeshangaa mama/baba zao tulikuwa tukichatije
G guest-1790917349 Guest May 16, 2023 #126 ladyfurahia said: YAANIAANI WENGI WAMEBADILI ID ZAO ILA WAPO SANA HUMU Click to expand... Ila hata mi nimebadiri lkn sio Kwa kuanzisha nyingine Ngoja nirudishe jina langu la zamani 🤣
ladyfurahia said: YAANIAANI WENGI WAMEBADILI ID ZAO ILA WAPO SANA HUMU Click to expand... Ila hata mi nimebadiri lkn sio Kwa kuanzisha nyingine Ngoja nirudishe jina langu la zamani 🤣
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 May 16, 2023 #127 Tayana-wog said: Ila hata mi nimebadiri lkn sio Kwa kuanzisha nyingine Ngoja nirudishe jina langu la zamani 🤣 Click to expand... 😀😀 hahhaaaa hebu lete jina la mwanzo basi maana mnabadilika sana
Tayana-wog said: Ila hata mi nimebadiri lkn sio Kwa kuanzisha nyingine Ngoja nirudishe jina langu la zamani 🤣 Click to expand... 😀😀 hahhaaaa hebu lete jina la mwanzo basi maana mnabadilika sana
G guest-1790917349 Guest May 16, 2023 #128 ladyfurahia said: hahaaaaaaaa mwenye nao kaona auedit ili watoto wa kizazi hiki wasijeshangaa mama/baba zao tulikuwa tukichatije Click to expand... No, ni mods ndo wali-edit
ladyfurahia said: hahaaaaaaaa mwenye nao kaona auedit ili watoto wa kizazi hiki wasijeshangaa mama/baba zao tulikuwa tukichatije Click to expand... No, ni mods ndo wali-edit
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 May 16, 2023 #129 Tayana-wog said: No, ni mods ndo wali-edit Click to expand... kumbe hawa mamod mbona wanageuza mambo jamani
Tayana-wog said: No, ni mods ndo wali-edit Click to expand... kumbe hawa mamod mbona wanageuza mambo jamani
G guest-1790917349 Guest May 16, 2023 #130 ladyfurahia said: 😀😀 hahhaaaa hebu lete jina la mwanzo basi maana mnabadilika sana Click to expand... Yes narudisha 😅
ladyfurahia said: 😀😀 hahhaaaa hebu lete jina la mwanzo basi maana mnabadilika sana Click to expand... Yes narudisha 😅
G guest-1790917349 Guest May 16, 2023 #131 ladyfurahia said: kumbe hawa mamod mbona wanageuza mambo jamani Click to expand... We utafute ,uone