wahaya tuimbe pamoja...........

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Udalali umeanza lini Judgement?

Mbona niko broka long fa.ck.ing!
Hapa penyewe najaribu kumpa saund @maxence, kuna Mwarabu anataka kuinunua Jeiefu.
Nikifanikiwa kuiuza, nimeahidiwa umodi , kwanza napiga ban woote humu mwende kwenu! Nabaki na YNNAH tu!
Kaa mwezi hivi ndo niwafikirie kuwasamehe.
 
Last edited by a moderator:
Du!kumbe ma modd!! Nao wanapigwa verse@Arushaone we mkalii huogopi Bann?
 
Kopi: manoah.......mtauana leo
Mia
Mia
Mia
Mia

huyo manoah hanibabaishi!. kwanza nilimuambia aje tucheze draft akaogopa, dat akaogopa. sasa nasema hivi kama taraka aitoe leo leo ili niwe huru na kifaa mimisa. manoa nakushauri utoe taraka hata kwa shingo upande huyo mkeo hajatulia!. muache utafute mwingine ili kutunza heshima yako au unamuogopa?. mia
 
Last edited by a moderator:
bona banaaaaa
bona banaaaaa!mimi na The secretary
mogole wenu!

honey nimepatia chorus?hahahaaa!

 
Last edited by a moderator:
Hahaha, mi nikisha sema no unategemea Mwali atakuja kusema yes? AshaDii njoo uongee na nephew wako huku.

Kwanza kabisa natoa amri kuwa Mwali asije kabisaaa hapa! Kama Arushaone ndiyo mkataji tamaa hivo hafai kabisa. Yaani kabeep kwako Roulette, huyo anahamia kwa Mwali? Huyu mwanaume hafai... Lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…