wahaya tuimbe pamoja...........

Mbwenu nainye mulete owa? namleta nanka mimisa naluga omumalembo..mwana yashemela mnooo...!!. mia
 
Last edited by a moderator:
figganigga .mia
mimisa.mia jana alipotea sijui ulikua nae kila nikimtumia email hajibu na simu alikua kafunga nitampiga talaka.mia
 
Last edited by a moderator:
Sasa Bishanga "mjuburo wa mwana" utakua lini?
Au ulishafanyika? Afu nina plot yangu Rwamishenye nearby Kanoni river, naiuza inkase uta'aprishiet hata kumchukulia The secretary, mlango wa mazungumzo uko wazi.
 
Bishanga amefulia. Atanunua kiwanja kwa hela ipi? Finca anadaiwa, mimi namdai.
 
Last edited by a moderator:
Roulette afu naomba unitazame kwa jicho la huruma mimi mtoto wa mwanamke mwenzio roho yangu imekudondokea ww. Naomba kukuoa uwe mama watoto wangu.

CC: EMT BAK FP snowhite.

SIJAMALIZA, NITARUDI.
Hahahaha, unaumwa wewe. haitawezekana kwa sababu tatu:
  1. nimesha fika maxximum number of children I want to have
  2. Hatujuani kiivoooo, zaidi ya JF, imekuaje mwenzangu ummenidondokea to that extent?
  3. I have a man in my life who makes me happy (oh, so happy 🙂 )
Ila naweza kukuelekeza kwa alter wangu AshaDii who is a perfect match maker. Another one is Mzee Mwanakijiji but sijui kama ana muda wa kuunganishana siku hizi 🙂
 
Last edited by a moderator:
Roulette afu naomba unitazame kwa jicho la huruma mimi mtoto wa mwanamke mwenzio roho yangu imekudondokea ww. Naomba kukuoa uwe mama watoto wangu.

CC: EMT BAK FP snowhite.

SIJAMALIZA, NITARUDI.

WTF inamaana ndo waga iko hivi duu kweli kua uyaona sio viwanja vya mpira kama azam..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
figganigga .mia

mimisa.mia jana alipotea sijui ulikua nae kila nikimtumia email hajibu na simu alikua kafunga nitampiga talaka.mia

Hasira hasara......usiwe kama mkizi kujirusha kwenye mtungi kisa eti @figganiga
Mia....mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…