Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,741
Baada ya Ndizi pendwa ziliwazo mkoani kagera kupigwa na mnyauko, mambo mbalimbali yametokea ikiwemo mabadiliko makubwa ya lugha.
Kilichoniua mimi ni pale nilipoenda kijijini nikakuta mtota analilia ndizi.
Enzi zetu ulipokuwa ukihisi njaa ulikuwa unalia ifuatavyo:-
"Mama tokeeee, mama ompe tokeeeeeeeee," maana yake mama nipe ndiziii. Kwa sasa hizo ndizi zinazoitwa ebitoke zimepigwa na mnyauko na matokeo yake imekuja variety mpya ya ndizi iitwayo MTWISHE.
Kwa sasa mtoto akumwa njaaaaaa.....utasikia analia(AKIOMBA MTWISHE)
"Mama twicheeee" ompe twicheeeeeeeeeee.
Kama kuna mhaya anabisha ajitokeze hapa.......hasa wale wa BUGABO kaeni kimyaaaaaaa. Twiche itaua mtu.
http://www.kagera.go.tz/kurasa/kilimo_mifugo/kilimo/ugonjwa wa manjano na myahuko.pdf