M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,791 Reaction score 4,485 Jul 19, 2024 #1 Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,564 Reaction score 109,103 Jul 19, 2024 #2 malembeka18 said: Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo Click to expand... Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya.
malembeka18 said: Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo Click to expand... Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya.
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,791 Reaction score 4,485 Jul 19, 2024 Thread starter #3 Dr Matola PhD said: Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya. Click to expand... Ha ha ha ha acha bas mkuu arc tena
Dr Matola PhD said: Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya. Click to expand... Ha ha ha ha acha bas mkuu arc tena
N Nzona JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 4,074 Reaction score 6,329 Jul 19, 2024 #4 Dr Matola PhD said: Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya. Click to expand... Aisee
Dr Matola PhD said: Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya. Click to expand... Aisee
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,314 Reaction score 25,456 Jul 19, 2024 #5 Dawa ya malaria waniita (Mshana )inatosha Mimi kuamini usemacho wako vizuri
Iyerdoi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 2,727 Reaction score 3,930 Jul 19, 2024 #6 malembeka18 said: Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo Click to expand... Hata dawa ya pressure inapatikana kwao wanaiita Entula hii hapa👇hivo vimatunda vyake ndo dawa. Ni mti jamii ya Solanaceae.
malembeka18 said: Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo Click to expand... Hata dawa ya pressure inapatikana kwao wanaiita Entula hii hapa👇hivo vimatunda vyake ndo dawa. Ni mti jamii ya Solanaceae.