A
Mainjinia tulionao wengi wao vimeo wamekalili nadharia ukisema shika mwiko uoneshe mfano anageuka mbogo anasema unamdharauUPO SAHIHI..VIONGOZI WA HALMASHAURI WAMEJAA UMWAMBA, POROJO NYINGI..WEWE KAMA ENG FUATA TAALUMA YAKO INAVOKUELEKEZA NA MIONGOZO YA KAZI NDO MAANA UMEAMINIWA UKAWEKWA HAPO...NANYIE MA ENG WA HALMASHAURI MUACHE KUCHELEWESHA MADODOSO YA VIFAA KWAKUJIFANYA MNAJUA KILA KITU INAVIKIA MUDA MNATAKA KUM BY PASS HATA MTU WA MANUNUZI KWA KUMUINGILIA KWENYE TAALUMA YAKE...KWAKWELI LOCAL GOVERMENT NI PASUA KICHWA.
Duh!...noma sanaKuna maagizo ya mdomo toka kwa MaRC, MaDC na MaDED wa chupi. Hawa ni wale waliohonga chupi zao na kuwa viongozi. Wanatoa maelekezo ya mdomo ukikataa unainua vita.
hyo ndo Local Government.Mainjinia tulionao wengi wao vimeo wamekalili nadharia ukisema shika mwiko uoneshe mfano anageuka mbogo anasema unamdharau
Wahandisi Ujenzi (Civil Engineers) waliopo Halmashauri zetu wanapitia wakati Mgumu sana.
Unakuta anasimamia miradi maelekezo anayopokea kutoka kwa Mkurugenzi (DED) na Mkuu wa Wilaya yanakuwa kinyume na utaalamu, unaweza ukaambiwa upige plaster leo na upake rangi leoleo, ukishindwa kufanya hivyo unaweza ukatafutiwa kosa na ukachukuliwa hatua, kimsingi ukitaka kufuata taaluma yako unaonekana hufai.
Pia, usafiri wa kupeleka Wahandisi site unakuwa changamoto sana mradi unaweza kuanza hadi unafika hatua ya kupaua Mhandisi hajawahi kwenda site kwa sababu DED hatoi usafiri na mafuta.
Ni wakati sasa Wizara ya TAMISEMI kufanya mabadiliko Mambo ya Kihandisi yaendeshwe kihandasi maana siasa zinakuwa nyingi sana kwenye kazi zinazohitaji utalaamu.
DEDs mipango na manunuzi ndio chanzo cha miradi kukwama na kuwa chini ya kiwango na kutokamilika lakini mdudu yakifanyika analaumiwa Mhandisi.
Wahandisi wa Halmashauri wanalipwa mishahara midogo sana, watu mmesoma wote miaka minne mnazidiana! Wizara husika ipo, Engineers Registration Board wapo, wanakula hela bure badala ya kutetea masilahi ya Wahandisi.
Wahandisi wa Halmashauri tuwe na umoja wetu.