hoperising
Member
- May 28, 2017
- 20
- 34
Habari wanajamvii,
Naimani kubwa sana wengi wetu tupo vyema kiafya na mapambano ya kilasiku yanasogea mbele bilashaka,
Dhumuni kubwa la kuanzisha Uzi huu ni kuapriate uwepo wa forum hii kwani siku zote imekua ikiwasaidia wengii
Nimejaribu kuufungua Uzi huu kwa lengo moja kuu lakuwakutanisha wahandisi (engineers) wote walioko ndani ya jukwaa hili, APA naimanisha nikatika kada mbali mbalii (displines)
Lengo kubwa nikusaidia kutatua matatizo yanayojitokeza katika mazingira tunayoisha na yenye kuitaji msaada wakitaalumu,
Iwe nyumbani, kazini ama shuleni,
Unachopaswa kufanya jitambulishe kada yako kwa mfano irrigation and water resources engineer (kada yangu))
Na jina au unapopatikana pia kama unakampuni yako nivizurii ukatangaza Huduma zako....
Karibuni sana..
Nitafurahii kama muamko utakua mkubwa...
Naomba radhii kwayoyote ntakae mkwaza...
Karibuni tujifunze....
Wenu mhandisii wa umwagiliaji na rasilimali majii
Na mtaalamu wa GiS....