G Gaza Senior Member Joined Nov 3, 2010 Posts 102 Reaction score 8 Apr 14, 2011 #1 kikwete ameyapa mafisadi siku 90 wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama, hii sioni kama ni sahihi kuwapa mda ilitakiwa waondolewe kwa aibu ili wajutie matendo yao mabaya walio tendea Wa Tz
kikwete ameyapa mafisadi siku 90 wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama, hii sioni kama ni sahihi kuwapa mda ilitakiwa waondolewe kwa aibu ili wajutie matendo yao mabaya walio tendea Wa Tz
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,696 Reaction score 1,807 Apr 15, 2011 #2 Mhh JK huyu huyu?? Hebu tuone, "...siku hazigandi"
Mwiba JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 7,607 Reaction score 1,764 Apr 15, 2011 #3 Ahsante Mheshimiwa Kikwete kama wao hawakuondoka basi bora uondoke wewe ,ili kuepuka shari !!