kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 May 17, 2011 #1 Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi april kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini?
Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi april kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini?
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 138 May 18, 2011 #2 mwezi mei mbona bado haujaisha? huo mshahara watapewa vipi?
Mzito Kabwela Platinum Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,908 Reaction score 7,752 May 18, 2011 #3 Ni kweli....nilikuwa ofisi ya UDBS hadi ijumaa ya tarehe 6.5.2011 walikuwa wanabishana wengine wamewekewa NBC wengine bado....
Ni kweli....nilikuwa ofisi ya UDBS hadi ijumaa ya tarehe 6.5.2011 walikuwa wanabishana wengine wamewekewa NBC wengine bado....
Barubaru JF-Expert Member Joined Apr 6, 2009 Posts 7,161 Reaction score 2,329 May 18, 2011 #4 kipindupindu said: Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi mei kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini? Click to expand... Kama tayari mshahara wa Mei wamepokea Mei 7 hiyo kali sana. Na SMT inastahili pongezi japo ni kosa kisheria kulipa mshahara kabla kufanya kazi.
kipindupindu said: Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi mei kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini? Click to expand... Kama tayari mshahara wa Mei wamepokea Mei 7 hiyo kali sana. Na SMT inastahili pongezi japo ni kosa kisheria kulipa mshahara kabla kufanya kazi.
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 May 18, 2011 Thread starter #5 Nimerekebisha ilikuwa ni typing error