Wagosi Mimi ni mgeni naomba mnipokee

Wagosi Mimi ni mgeni naomba mnipokee

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,643
Habar wazeenimekua naifatilia JF kupitia Google kwa muda mref. Saiv nimeona nifungue account moja kwa moja.

Japo naona siwez kucomment Wala Nini naimani @moderators au Admins wameniweka kwenye kipindi Cha matazamio.

Ikiwa Kuna maelekezo yoyote nisaidieni .. nimeona platinum members na expert members ni akiba nani hai ??
And when how can I be one among them ?
 
Me Owell
 
Attachments

  • Screenshot_20250424-141237.png
    Screenshot_20250424-141237.png
    282.5 KB · Views: 22
Wanaonijua wanaonijua tyu. Acha kufukunyua yasokuhusu we pimbilee.

Alafu Kona zooote hizi mnachonishania ni kupewa ushauri wa kuacha ukurupukaji.
We binti nakupenda ujue😋.
Unanipandishia ashiki.
 
We binti nakupenda ujue😋.
Unanipandishia ashiki.

Under any sucurmstances in our grounds of TZ mwanaume kujibebisha kwa mwanaume Mwenzio tunachukulia kuwa ni matatizo ya akili.
(Mental health problems)

Sasa ukijaa kwenye mfumo ntakupelekea moto Hadi utapike huo ubongo mbovu .. tujaze godoro za moto humo kichwani.
 
We binti nakupenda ujue😋.
Unanipandishia ashiki.

Ila na kapozi umepiga hapo profile Mdogo angu .. ushaanza kunitoa shaka mbwa wewe. 😂😂😂😂.

Nambie kwanini mwanaume mzima umelegeza macho kwenye pic Kama hivyo ??

Hivi vidogo vingine ni vipumbav .. 😂😂😂😂😂.

Toa hiyo picha Weka picha ya kiume kijana.
 
Under any sucurmstances in our grounds of TZ mwanaume kujibebisha kwa mwanaume Mwenzio tunachukulia kuwa ni matatizo ya akili.
(Mental health problems)

Sasa ukijaa kwenye mfumo ntakupelekea moto Hadi utapike huo ubongo mbovu .. tujaze godoro za moto humo kichwani.
Hahaha 😁, kwa nini hukutuambia jinsia yako?
Hujui kuwa sisi tuko kwenye mashindano ya kuwatafuta mabinti wapya wanakuja hapa jukwaani.

Mimi na mzabzab tunaamini kuwa Kila binti anayekuja hapa JF ni bikira hivyo lazima tumgombanie.
 
Ila na kapozi umepiga hapo profile Mdogo angu .. ushaanza kunitoa shaka mbwa wewe. 😂😂😂😂.

Nambie kwanini mwanaume mzima umelegeza macho kwenye pic Kama hivyo ??

Hivi vidogo vingine ni vipumbav .. 😂😂😂😂😂.

Toa hiyo picha Weka picha ya kiume kijana.
Hahaha 😁😂
 
Hahaha 😁, kwa nini hukutuambia jinsia yako?
Hujui kuwa sisi tuko kwenye mashindano ya kuwatafuta mabinti wapya wanakuja hapa jukwaani.

Mimi na mzabzab tunaamini kuwa Kila binti anayekuja hapa JF ni bikira hivyo lazima tumgombanie.

Yah. Ndo Mana NO REFORMS NO ELECTION haipai ipasavyo ... Vijana wapo wanawinda Hadi kwenye majukwaa ya siasa ...
 
Lema na mwenzie wamekamatwa

secretarybird oy sorry .. nikajua tupo kwenye Uzi flan wa NO ELECTION HUKO .... that's why nilikua kisiasa Mara baada ya kuona text yako. Sikujua kua upo nje ya ule Uzi kiongozi.

🙏🙏🙏🙏
Hahaha 😁😂 we usijali nyuzi zote tunazivagaa kwa pupa.
 
Back
Top Bottom