Wagombea 'wanaofaa ' na wanaofaa zaidi

Wagombea 'wanaofaa ' na wanaofaa zaidi

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,612
Uchaguzi unaisha hata hivyo kuna chama kile ambacho hakina itikadi
bila kujali wewe ni CCM au UKAWA kuna chama ambacho mgombea
tukimtazama kwa macho tu...tunakubaliana 'anafaa na anafaa zaidi'

Sasa naomba tu share picha humu za wagombea ambao wanafaa na wanafaa zaidi
hata kama hatutawachagua kisiasa lakini tunakubali 'wanafaa'
Kaboom platozoom OLESAIDIMU Mentor Watu8 Nyani Ngabu na wengine wote
 
Last edited by a moderator:
11176471_1436768546636041_393966410_n.jpg
 
Nimeambiwa anagombea ubunge huko Segerea.....
 
Back
Top Bottom