Wagombea Urais Uganda 2026

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
858
Reaction score
1,655
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda, kuna zaidi ya wapiga kura milioni 21 waliojisajiliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026. Wapiga kura wataamua ni nani watamchagua kati ya wagombea 8 wanaowania nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali nchini humo. Yoweri Kaguta Museveni kutoka chama cha NRM ambae ndie Rais wa sasa anatetea nafasi yake kwa mara ya saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…