jockey emmanuel
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 330
- 50
Jf ina raha ukiwa na subira na ukajipa muda wa kusoma mazingira, ukatoa thread za kujenga na kukosoa na ukatetea hoja yako, usifate mkumbo utaonekana huna busara wala hujui unalo fanya. kwa kifupi humu ni full maraha masaa yote ni wewe tu ni wewe tu na airtime yako.
Swala la mwanaume kumtangaza mwanamke wake ni utashi wa mtu mwenyewe au vijana wengine wanasema ili waonekane na wenzao wao ni wakareee. Nakumbuka secondary ndio michezo kama hii hufanyika nina hisia na wewe ni wa huko au nimekosea?
ETI WANAjf WENZANGU...NAPENDA KUJUA JINSI WAGENI WANAOJIUNGA NA JF WANAVYOFURAHIA KUJIUNGA,nimejaribu kujiuliza lkn sijapata jibu.Jingine ni kwamba,ni kwanini wavulana walio ktk mahusiano wanaamini kuwa sex huongeza upendo wakati inasemekana kuwa after sex before marriage,wavulana huwatangaza wasichana na kuwadharau hivyo hata wakifunga nao ndoa,uaminifu unakosekana?jambo hili wanakutana nalo wasichana wengi hasa wanaojiingiza ktk mapenzi ktk umri mdogo.....:teeth:
hujakosea kabisa....mi ni wa secondary....kama unapapata barbro johansson
best unapuliza na kushindilia msumari wa moto!!! ha hahaaaaaa
hujakosea kabisa....mi ni wa secondary....kama unapapata barbro johansson
Basi jifunze kupangilia hoja yako kuna watu wako makini wanasoma between the lines, sawa dogo
Jf ina raha ukiwa na subira na ukajipa muda wa kusoma mazingira, ukatoa thread za kujenga na kukosoa na ukatetea hoja yako, usifate mkumbo utaonekana huna busara wala hujui unalo fanya. kwa kifupi humu ni full maraha masaa yote ni wewe tu ni wewe tu na airtime yako.
Swala la mwanaume kumtangaza mwanamke wake ni utashi wa mtu mwenyewe au vijana wengine wanasema ili waonekane na wenzao wao ni wakareee. Nakumbuka secondary ndio michezo kama hii hufanyika nina hisia na wewe ni wa huko au nimekosea?
nakuheshimu dia!! naona unaweza sana kuyasoma mawazo ya dogo!!!
siumeona jibu lake? tena si ajabu yupo kidato cha pili huyu!!! ha ha haaaaaaaa watoto wa siku hizi lol!!!!