Waganda,waganda mtaniua....aisee


utakuja kwenye box
 
Uganda ogopa kwa ngoma..according to VOANEWS uganda ndio inaongoza sasa kwa maambukizi ya kasi ya ugonjwa wa Ukimwi..SO chunga kijanaa
 
Uganda ogopa kwa ngoma..according to VOANEWS uganda ndio inaongoza sasa kwa maambukizi ya kasi ya ugonjwa wa Ukimwi..SO chunga kijanaa
hakuna mwenye takwim kamili,mbona tz wanakufa kama nzige?usinitishe!
 
Na utkufa kweli...idadi ya wenye ukimwi ni 1,200,000,hiyo ni data za kawaida,huko dr.anahongwa anatoa majibu mazuri kama una cente,ili kufa upesi..tembelea na sax pub,angenoir na makerere,wanapenda sana wa tz kz waganda hawatahiriwi na wabongo ni light skinned na sura nzuri,ndugu zako wana hizi taaatfa?...My condolences!
 
hakuna mwenye takwim kamili,mbona tz wanakufa kama nzige?usinitishe!

Kwahyo unahisi nnakutisha??sasa kwann nikutishe kwan wewe mtoto?au unahisi nakuonea wivuu?? wazungu wanasema every action has equal or opposite reaction sasa wewe subiri kulazimishwa kwenda kanisan ukiwa jenezani
 
ngoja tugawane virusi,huyu anachukua vya kiume na yule anachukua vya kike kwa hiyo havizaliani...loading error...
 
sifi,kwan wewe ni israeli?..loading error...
 

We mhuni utategeshewa mimba muda sio mrefu... nenda mdogo mdogo. Kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…