Waganda,waganda mtaniua....aisee

du! hatari hii? natamani kuja ila acha wakati wa likizo nitaangalia posibility,vipi hali ya maisha ya huko?,""laki moja ya tshs"" inatosha kwa siku for normal relaxation?
 
kama hela unayo, kuula raha mkuu!
 
du! hatari hii? natamani kuja ila acha wakati wa likizo nitaangalia posibility,vipi hali ya maisha ya huko?,""laki moja ya tshs"" inatosha kwa siku for normal relaxation?

unaweza tumia hata siku tatu au nne kwabajeti.hawana mizinga kama bongo
 
kumbuka ku2mia kinga vinginevo umesema hurud bongo bali utarudishwa ukiwa moja
 
Heheheheh!! Ndo umeenda kuanza chuo KIU? Kuna waethiopia huko nao weusi halafu ni makao makuu ya vyangudoa wanaojifanya wanafunzi.
 
ukovp hawajuikusaliti?maanahuku.kusalitiwa ndokaulimbiyu yawadada.
 
ni kweli Uganda si mchezo ,ukiwa mkware umeumia!
 
Mkuu ipe nafsi yako furaha,ipe burudani,hiyo mitoto ya huko mieusi,ya moto,mitam sana.
 
nimemiss kampala nitakuja tena utakuwa mwenyeji wangu mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…