jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
una umri gani?Weka picha
wakuu mimi ndo jembe la afrika nipendae watoto weusi, jaman huku ni nouma
tangu nimeingi border ya malaba mimi huyo jinja,nikapitia kireka,boyogerere,banda
jamani nikafika stend nikashuka hapo nikachukua daladala ya kwenda seguku .
Nikiwa na mwenyeji wangu maeneo ya kabalagala si akanitafutia mtoto akajilengesha
si nikachukua room,jaman hayo mapaja meusii uwiiiii ni matam balaaaaaaaa.
Jaman yaan bongo mnisahau siiiiiiiiiji ng"o siwezi kuacha vitu vizuri.
Miguu ya bia iko huku,wowowooo ndo usiseme balaa,namshukuru mseven kwa kuwazuia kuvaa
vimin maana ningekufa,bongo mnisahau siji,tutakutana humuhumu jf.
Jembe afrika.
angalia unaweza ukadhani unakula dunia kumbe dunia yakula wewe
Kinga umekumbukaaa
Nyumbani ni nyumbani wewe sema huji baadae tuanze kusumbuka kuna ndugu yenu anatafuta wenzake
kaka njooo huku bongo nimichosho tuWewe hakika ni mwafrika halisi, ukimka usubuhi shurti kuingiza mkono ku-cross-check soseji na mayai yake 2 kama bado yapo, pale katikati ya miguu yako, pale ilipoungana. Hebu nipasie basi hata kamoja shekhe!
Weka picha
Acha wosia kabisa kwenye mitandao ya jamii na kwa ndugu zako sio baadae kuna mtz ametutoka haijulikani ndugu zake walipomkuu huko siji na nataka nitafute uraia
una umri gani?
hahaaaaaa harufu kama ungepajua kwangu nenda kachukue kila kitu huko sijiAcha wosia kabisa kwenye mitandao ya jamii na kwa ndugu zako sio baadae kuna mtz ametutoka haijulikani ndugu zake walipo
leo asubuhi redio BBC imetangaza Uganda inaongoza kwa kuuza vyeti feki vya upimaji wa Ukimwi!!!!! take careHuko si ndo ngoma ilianzia.