Hii stori inanikumbusha mkuu wa wilaya Bukoba aliyewachapa walimu wa shule za msingi za wilaya hiyo ikiwemo shule maarufu ya KATERERO.
Kwa kweli wanapaswa kuchukuliwa hatua maana mwalimu ambaye anakuja amelewa siamini kama atafundisha inavyopaswa under the influence of alcohol. Na mara nyingi hata mitaala anakuwa hakuiandaa. Kumbe yafaa washughulikiwe kwa sababu wanatupa hasara wazazi na watoto wetu tuwapendao na taifa letu.Sasa Babuyao,huyo mkuu wa wilaya si aliwachapa walimu kwa sababu ya kufeli kwa wanafunzi katika shule hiyo?
Huyo wa Uganda ni mlevi..! Na ndio mana nikauliza, je watu kama hao Tz wapo? Na kama wapo wachukuliwe hatua gani?
Mboko Tu!! Sasa mtu mzima anakuja kazini amelewa--tiba yake sii mboko tu???
Kwa kweli wanapaswa kuchukuliwa hatua maana mwalimu ambaye anakuja amelewa siamini kama atafundisha inavyopaswa under the influence of alcohol. Na mara nyingi hata mitaala anakuwa hakuiandaa. Kumbe yafaa washughulikiwe kwa sababu wanatupa hasara wazazi na watoto wetu tuwapendao na taifa letu.
Kwani walimu pekee ndo watumishi?Je na madaktari, polisi, mawazi, mbona ni wote tu. Sasa nani amchape nani
Safi sana...!Wazazi wamemcharaza bakora mwalimu wa shule huko Uganda baada ya kufika ofisini akiwa amelewa chakari!
Hakika wale wote wanaoenda maofini wamelewa wanapaswa KUADHIBIWA ikibidi wachapwe viboko ndiyo! kwani viboko ni moja ya adhabu lukuki zilizopo kwenye system zetu za mahakama. Kama njia nyingine hazisaidii, mi naona wachapwe mboko. Wakumbushwe ya Kanali Mnali kule BK.Kwani walimu pekee ndo watumishi?Je na madaktari, polisi, mawazi, mbona ni wote tu. Sasa nani amchape nani