Wafugaji Kilosa watakiwa kuchangia 100,000 mchango wa Mwenge

Easyway

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
2,606
3,710
Wafugaji wilayani Kilosa wametakiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa mh.John Henjewele kuchangia 100,000 kila mfugaji kwa ajili ya kuchangia mbio za mwenge wa Uhuru.
Ukichangia 100,000 unapewa risiti.

Hali hiyo imesababisha wafugaji kukimbia makazi yao.

Chanzo Chanel ten.

Magufuli unaumiza wananchi mwenge wenyewe hauna faida yoyote,unafuta sherehe za Uhuru unakubali mbio za mwenge.

Elimu Bure ila mbio za mwenge wanachangia.

Poleni wafugaji huku mjini hatuchangii ,poleni sana .

Kweli wataisoma namba.
 
Back
Top Bottom