Print Fly Member Joined Oct 12, 2021 Posts 50 Reaction score 48 Jan 29, 2022 #1 Kama wewe ni mfugaji Basi karibu hapa tuweze kupeana ujuzi wa ufugaji bora pia kutatua changamoto tunazokumbana nazo kwenye mabanda yetu. Waswahili wanasema Cheni ina nguvu tu kama kiunganishi ni dhaifu
Kama wewe ni mfugaji Basi karibu hapa tuweze kupeana ujuzi wa ufugaji bora pia kutatua changamoto tunazokumbana nazo kwenye mabanda yetu. Waswahili wanasema Cheni ina nguvu tu kama kiunganishi ni dhaifu
edwin4 JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 287 Reaction score 219 Feb 3, 2022 #2 Print Fly said: Kama wewe ni mfugaji Basi karibu hapa tuweze kupeana ujuzi wa ufugaji bora pia kutatua changamoto tunazokumbana nazo kwenye mabanda yetu. Waswahili wanasema Cheni ina nguvu tu kama kiunganishi ni dhaifu Click to expand... Naomba kujua namna faida inavopatikana kwenye hii biashara
Print Fly said: Kama wewe ni mfugaji Basi karibu hapa tuweze kupeana ujuzi wa ufugaji bora pia kutatua changamoto tunazokumbana nazo kwenye mabanda yetu. Waswahili wanasema Cheni ina nguvu tu kama kiunganishi ni dhaifu Click to expand... Naomba kujua namna faida inavopatikana kwenye hii biashara
Super H JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 1,070 Reaction score 405 Feb 3, 2022 #3 Kuku wangu wamekufa wengi Sana wanajisaidia choo Kama chokaa hivi , tatizo nini na tiba Nini ?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Feb 3, 2022 #4 Ok wacha nipate point hapa....labda naweza pata pakuanzia
Print Fly Member Joined Oct 12, 2021 Posts 50 Reaction score 48 Feb 19, 2022 Thread starter #5 Super H said: Kuku wangu wamekufa wengi Sana wanajisaidia choo Kama chokaa hivi , tatizo nini na tiba Nini ? Click to expand... Mkuu dalili nyingine ukiachia iyo Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Super H said: Kuku wangu wamekufa wengi Sana wanajisaidia choo Kama chokaa hivi , tatizo nini na tiba Nini ? Click to expand... Mkuu dalili nyingine ukiachia iyo Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Super H JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 1,070 Reaction score 405 Feb 19, 2022 #6 Print Fly said: Mkuu dalili nyingine ukiachia iyo Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app Click to expand... Manyoya kusimama na kuacha kula
Print Fly said: Mkuu dalili nyingine ukiachia iyo Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app Click to expand... Manyoya kusimama na kuacha kula
Print Fly Member Joined Oct 12, 2021 Posts 50 Reaction score 48 Feb 19, 2022 Thread starter #7 Super H said: Manyoya kusimama na kuacha kula Click to expand... Hiyo itakuwa typhoid kama pia wanahema kwa shida Pia vip mazingira ya banda lao Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Super H said: Manyoya kusimama na kuacha kula Click to expand... Hiyo itakuwa typhoid kama pia wanahema kwa shida Pia vip mazingira ya banda lao Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Super H JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 1,070 Reaction score 405 Feb 19, 2022 #8 Print Fly said: Hiyo itakuwa typhoid kama pia wanahema kwa shida Pia vip mazingira ya banda lao Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app Click to expand... Nilifanikiwa kuwauza ,labda unipe ushauri wa Nini Cha kufanya next time
Print Fly said: Hiyo itakuwa typhoid kama pia wanahema kwa shida Pia vip mazingira ya banda lao Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app Click to expand... Nilifanikiwa kuwauza ,labda unipe ushauri wa Nini Cha kufanya next time