Tuseme ukweli kwa hapa tulipo hatusitaili kuwepo kwa hali hali tulionayo tangu uhuru,tuna kila aina ya maliasili,mungu ametujaria kila aina ya utajiri lakin! Nchi ndogo zinatoka nyuma zitatupitakiuchumi ikiwa ni pamoja na rwanda.kufikia 2025taifa la kenya litaingizwa kati ya mataifa yenye uchumi wa kati na kutoka nchi maskini.je kenya wana nini zaidi yetu?tanzania imevamiwa san na watu wasio na nia njema na taifa letu kwa mda mrefu sana hivyo kuna haja ya kufanya kila jitiada kuondoa uhozo huo,kwa utajiri tulionao tusingekuwa tunajisifia kujenga barabara za rami,bali tungekuwa na train za ardhini, ndege za boeng 737zisizopungua 200-500,tusingekuwa na vifo vya akina mama na watoto,uchafuzi wa wazingira kama sasa,mtumishi kulipwa mshahara shs 250,000 hadi 500,000 kwa mwezi,ukosefu wa maji kwa wananchi maeneo mbalimbali za nchi,mtanzania kuishi chini ya dola moja.unajua hapa tusikwepe ukweli bali tuongee ukweli ili nchi ishutuke na kuamka ili tusonge mbele kama jirani zetu.mtu yeyote anayeisifia serikali iliyoko madarakani,kusema ukweli hana nia njema kwa taifa letu,hapa simaanishi mie ni mpenzi wa chadema au cuf bali tunahitaji mabadiliko ya kifikra,kimtazamo na kisiasa ili taifa letu likue kiuchumi.lazima tuwe na huruma na vizazi vijavyo nao angalau waonje matunda ya nchi yao,vinginevyo watakuja kulia juu ya makabuli yetu na kung'oa misaraba na maua yetu juu ya nyumba zetu za milele.amen