Wafuasi wa CHADEMA acheni uongo


acha kuji inulia mgongo utaumbuka kijana, kwasasa ukawa miozo Hanna lolote Leo hili kesho lile, mlitegemea kuishi kwa matukio sasa matukio Hanna ,ajenda ya ufisadi kaa la moto hahah
 
Last edited by a moderator:

Hawa ni wachumia tumbo hawana lolote
 

kamfulie kaptula JIZI LOWASA HUNA JIPYA
 
ukawa nilianza kuwadharau siku waliyompokea EDO but huyu dogo Salimu Mwalimu nimemdharau sana badala ya kuongea mambo ya maana anaongea pumba. Inaonyesha bado anadhani huu ni wakati wa kampeni.
 
Katika watu wanao mchukia MAgufuli kwa sasa ni baadhi ya wana CCM maaana kawazibia mianya yooote ya kupiga dili waliokuwa wamezoea Enzi za JK. Hakika CCM wanaisoma namba. Heko MAGUFULI kuwakomalia wezi ndani ya CCM
 
Hivi bandiko hili Ndugu yangu Malaika Mkuu lina tofauti gani na hili?

 
Last edited by a moderator:
ukawa hoja ya ufisadi aliondoka nayo Dr. Slaa ndio maana wakawa wanakumbatia mafisadi sasa mwaka 2020 sijui mtamsimamisha nani maana huyo mgombea wao hawezi kugombea si ajabu atakuwa kafungwa na jela ya mafisadi
 
acha kuji inulia mgongo utaumbuka kijana, kwasasa ukawa miozo Hanna lolote Leo hili kesho lile, mlitegemea kuishi kwa matukio sasa matukio Hanna ,ajenda ya ufisadi kaa la moto hahah
MOTOCHINI mie nimeshavuka kipengele cha kuitwa kijana hata kama muonekano wangu waweza kunidhania hivyo. Mie nakushangaa sana, kwa nini wewe na watu wengi wa Kigoma ambao ni wafuasi wa yule CEO fulani wa chama cha siasa chuki zao (tena za wazi) ni kwa Chadema?
 
Last edited by a moderator:
Unapo kuwa mpinzani wewe unapaswa kuwa kioo cha jamii, unapo shauri jema anza kutenda mema wewekwanza, huwezi kuilaumu ccm ikiwa mwenyewe umejaa uozo, siasa mnazo fanya hapa ni kufuata mkumbo wala si siasa za kuchunguza ubora wa sera na matendo ya wanasiasa, nita pinga mwanzo mwisho siasa mnazo fanya za kuwapa UMUNGU MTU KINA MBOWE ikiwa si vizuri, Mbowe akilala akiamka na utumbo woote mnashangilia, leo anamwita Zitto msaliti kesho akisema ztt msafi hamhoji ilikuwaje aitwe msaliti. Kunawanasiasa wengi mliwatimua na hata kuwatukana leo malaika kama vile KAFULILA huyu alikuwa CHADEMA kwa ujuha wenu wakufuatafuata mkumbo mlimtimua lakin leo mtam, Chakaza CDM nzuri kam jina lakin wafuas wake MAZUZU
 
Last edited by a moderator:
MOTOCHINI kwanza goodmorning. Pili ndugu yangu siasa haina chuki hata kidogo. Siasa haiangalii historia ya mtu bali yukoje kwa wakati husika. Hayo ya Mbowe na muono wako hebu tuyaache kwanza twende kwa Kafulila. Huyu kijana kuna wakati alienda tofauti na chama chake Chadema na wakamfukuza. Akaenda NCCR nako aka wakorofisha wakawa kwenye mchakato wa kumuadhibu akajirudi mapema akasamehewe yakaisha. Chadema wakaanza kumuunga mkono kwa vile alianza kutenda yale wanayoyakubali.
Hakuna ubaya katika siasa mtu kubadilika na hawezi kuhukumiwa kwa misimamo yake ya awali ya kupinga jambo. Umeona hata katika chama kikongwe kama ccm hayo yametokea. Yupo mtu kama Wassira aliondoka CCM tena kwa matusi na kashfa na kujiunga na NCCR, Lakini baadae karudi CCM na kuwa mtu wa muhimu huko kwa kiasi kikubwa kama tulivyoona.
Siasa haina kiporo brother, ya leo sio ya kesho. Malaika wa leo aweza kuwa shetani wa kesho hivyo hata shetani wa jana aweza kuwa malaika wa leo. Huoni mzee Pombe leo kawa lulu? Kwani ni malaika wa jana yule? Ukimchambua unaweza kuona alikuwa shetani jana. Lakini tunasahau hayo.
 
Last edited by a moderator:
Leo wanasema Samia anatekeleza ilani yao. Hawa jamaa akili hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…