Wafitini TPA wafichuliwa!

Wafitini TPA wafichuliwa!

Joined
May 4, 2010
Posts
77
Reaction score
12
BAADA ya kupigwa chini kwa ufisadi mkubwa walioufanya TPA aliyekuwa mkurugenzi msaidizi bwana Ahmad Koshuma hajakata tamaa anahaha kila kona kuhakikisha anavuruga mema yote yanayofanywa na waziri Mwakyembe kupitia menejimenti mpya ya bandari, katika kampeni yake hiyo analitumia gazeti la Tanzania Daima kupitia waandishi bwana Semtawa na Malela ambao ---------- magari na kila stori wanayoandika kuchafua TPA wanalipwa milioni moja tena Koshuma anajigamba eti katika vita yake hii na menejimenti ya TPA anapata sapoti toka kwa afisa mwandamizi wa ikulu anayefahamika kwa jina la mzee Ayyo. Hivi Koshuma na vibaraka wako hawa mnaitakia nini nchi hii kwa hizi fitna zenu.
 
Hivi Mgawe,Koshuma na Julius Mfuko bado wanaota watarudi TPA na huyu mzee Ayyo imekuaje tena akajiunge na kundi la mafisadi hawa namkumbuka miaka ya nyuma alipata kuwa rso wa Lindi sijui siku hizi yuko wapi?
 
Hawa mafisadi lazima tuwakomeshe hawana nafasi tena tanzania ahsante mkuu kwa kuwaumbua wahusika watafanyia kazi tarifa zako.
 
Kama una ushaidi wa koshuma kufanya hayo mambo usiwaingize na wengine kila mtu na lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom