Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kuna jambo nimejiuliza,Nikajionea aibu mimi mwenyewe kama mtz mzalendo.
Hivi,Inawezekana je,Taasisi kama serekali isikosee.Hata binadamu tu sio malaika huwa wanakosea na kumkwaza mungu.
Sasa Eti toka uhuru,Serekali haija wahi kukosea kiutendaji.We jiulize ni lini TBC wamerusha habari ambayo inakosoa serekali pale ilipo kosea,Binafsi toka kuzaliwa sijawahi kuona.
Maana yake TBC ni chombo kiongo zaidi kuliko vyombo binafsi,Vyombo binafsi huwa vinasifu pale serekali inapofanya vizuri,Na vinakosoa pale wanapoharibu.
Ili wajirekebishe.Sasa TBC serekali kwao ni malaika.Haikosei,Haiharibu yenyewe kwao inapatia kila jambo kwa 100%
Kwa mtindo huu TBC inaweza kuzalisha watz mazezeta na wasiojua kuhoji na mwisho wakaona serekali ni zaidi ya mungu.
Nawashauri wabadilike hii ni karne ya 21.

Last edited by a moderator: