Heading yako tu misleading, wafanyakazi wa serikali balaa nikafikiri labda wana hela au sijui kuna nini!!!!
Tatizo la wafanyakazi wa serikali kuchelewa kulipwa mishahara ni system mpya inajulikana kama Epicor09 ambayo imezungua songombingo kwa sasa nchini.
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa serikali imefulia na ndiyo maana hata baadhi ya idara mafungu yamekuwa hayaji kama yalivyobajetiwa, sasa sijajua kama hali hiyo imepitiliza mpaka kwenye mishahara.
Vuta subira kaka, watumishi wa serikali wafanye mabadiliko ya mind zao kuanza kupokea mishahara kuanzia tarehe 05 - 10 sasa.