Wafanyakazi VodaCom mkoani Kilimanjaro wasepa na mamilion ya pesa

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,624
985
Meneja mkuu, mhasibu, mtunza store wote wakiwa waajiriwa Wa vodacom
mkoani kilimanjaro head ofice wamekula njama na kuondoka na kitita kikubwa cha pesa. Ofisi ya vodacom mkani humo iliyopo karibu na round about mjini moshi leo haikufunguliwa kuepusha kufa kufaana. Yani ili wengine wasije iba kwa kisingizio cha haooo walio ondoka.
 
Meneja mkuu, muhasibu, mtunza store wote wakiwa waajiriwa Wa vodacom
mkoani kilimanjaro head ofice wamekula njama na kuondoka na kitita kikubwa cha pesa. Ofisi ya vodacom mkani humo iliyopo karibu na round about mjini moshi leo haikufunguliwa kuepusha kufa kufaana. Yani ili wengine wasije iba kwa kisingizio cha haooo walio ondoka.

Kama kweli wameiba basi si wezi wazoefu, utaibaje kila mtu ajue uneiba? na je ? wanafikiri hawawezi kupatikana? how much is the money? wamejiharibia for the rest of their life
 
Makampuni ya simu ya hapa Tanzania wanaibiwa sana na watumishi wao na awachukuliwi hatua zozote zaidi ya kufutiwa ajira zao.
 
Wacha waibe tu hizi kampuni hazina shukrani kuna jamaa wa Voda analalamika amekaa na kampuni miaka 8 lkn sasa hivi customer care imekuwa outsouced kwa kampuni inaitwa ERO LINK, Voda wanachomlipa jamaa na miaka 8 yake kuwepo pale hata milioni 3 hazifiki na hizo Vodashop zote zinakuwa Franchised yaani anapewa mtu aendeshe sasa wale staff wa Voda wanakuwa kwenye hati hati ya kukosa ajira yao. Eti Malipo unalipwa kila mwaka uliokaa unalipwa siku saba tu sasa imagine wadau nani atacha kuiba?
 
Back
Top Bottom