Wadau sisi wabongo hatuna hulka ya kuangalia muda wa ticket kutumika au kituo ulichopandia ukishapewa tu ticket unakimbilia kwenda kuingia na ticket ikiscaniwa ikikataa kwenye system utaambiwa pita upande ule wa pili ndo hivyo makato yameshapoteaKwani zile risiti si zina muda wake wa kutumika, anawezaje kuiuza tena wakati muda umeshapita na Risiti inaonyesha kituo ulichokatia.
Kwa taarifa za uakika kabisa ni kuwa kazi ya kuunganisha vituo vyote vya dart kwa mfumo wa computer alipewa vodacom( ???? ). Kilichotokea kila msafiri wa dart anajua jinsi risiti zinavogoma sababu network ni mbovu.Serikali yetu tukufu imeshachukua hatua kwa kuiagiza Kampuni ya kizalendo TTCL, imeshatandaza waya ya fiber kuunganisha vituo vya DART kwa ajili ya mawasiliano ya haraka. Hope tatizo litaisha soon.Hawa jamaa wa mabasi hayo wana mtindo unapotoka getini wanakuambia uache risiti pale sasa kinachotokea ni kwamba wanazirudisha dirishani kisha inauzwa tena. Hili nmelishuhudia kwa macho yangu nkawaambia nkaishia kukoromewa. Tusijikoseshe mapato tafadhali dai risiti ya kutokea kwenye mashine sio aitoe mfukoni
Safi mkuu kwa kuwaeleza mie nawaambia kitu nilichokiona wao wanaleta mbwembwe wajaribu kuwa makini watagundua. Na pia risiti ikigoma kuscan wana kadi zao wanaziscan kisha unapita tuWadau sisi wabongo hatuna hulka ya kuangalia muda wa ticket kutumika au kituo ulichopandia ukishapewa tu ticket unakimbilia kwenda kuingia na ticket ikiscaniwa ikikataa kwenye system utaambiwa pita upande ule wa pili ndo hivyo makato yameshapotea
Jaribu kuwaambia risiti imekata kuscan uone watakuambiajeHuu ni uongo, zile tiketi zina expire after 2 hours na huwezi kuitumia kituo kingine.
Mara ngapi watu wanapanda daladala na wakidai ticket konda anawambia zimekwisha na abiria wananyamaza tuu.kwa Nchi yetu Hilo uliloongea linawezekana sana tuu.Wadau sisi wabongo hatuna hulka ya kuangalia muda wa ticket kutumika au kituo ulichopandia ukishapewa tu ticket unakimbilia kwenda kuingia na ticket ikiscaniwa ikikataa kwenye system utaambiwa pita upande ule wa pili ndo hivyo makato yameshapotea
Kaka,Ukiingia unaipitisha kwenye mashine, na hutoki bila kuipitisha tena, after which machine inakua haiitambui tens. Hilo unalosrma haliwezekani