Wafanyabiashara kuipa CCM bilioni mbili ifanye mkutano Mkuu?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,927
Ccm ilikiri kwamba haina bilioni mbili za kufanyia mkutano Mkuu mwezi June,na kwamba,katika baadhi ya mapendekezo ya kupata pesa ni kutoka kwa marafiki wa chama,ni wazi kwamba mwananchi wa kawaida hana uwezo wa kuwa na bilioni mbili,ni wafanya biashara tu,

Habari zilizopo ni kwamba jk anataka kumuachia uenyekiti magufuli, ni wazi magu yuko mtegoni kukabidhiwa chama na wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom