Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
ccm na maisha ya watu ni kitu ambacho uwezi kutengenisha, cdm inafanya siasa za kuigiza(impracticable) , wakati ccm automatikik inareflect maisha halisi ya mtanzania, siasa za kulaghai hazina nafasi tena, mabomba kutoa maziwa kila mahali ni siasa za kilaghai na hazina nafasi tena, lets us walk the walk and talk the talk,
we mjinga sana, ccm ifanye uonevu then Lema afanye utetezi, akili kama ya mende
Mkuu, hao wauza matunda walikuwa wanajidai sana huku wakipeperusha bendera za kijani. sijui hao migambo hawakuona hizo bendera?
ccm na maisha ya watu ni kitu ambacho uwezi kutengenisha, cdm inafanya siasa za kuigiza(impracticable) , wakati ccm automatikik inareflect maisha halisi ya mtanzania, siasa za kulaghai hazina nafasi tena, mabomba kutoa maziwa kila mahali ni siasa za kilaghai na hazina nafasi tena, lets us walk the walk and talk the talk,
MSALANI leo salio limekata.
Wapi we kima! Ulikuwa moro wakati raia wako alikuwa mgen kisimi uwanjani?Mkuu naona unanitafuta, leo nilikuwa bize na ujio wa Rais mjini kwetu!
attention seeker
Mzushi na mpotoshaji wewe
Kwenye Mazuri CHADEMA wanajiweka mbele!Naona mleta mada umevurugwa hujielewi,hivi meya wa jiji la arusha ni wa chama kipi? Acheni kufanya siasa za kishamba na kijinga kiasi cha kujidharilisha namna hiyo! Tumeambiwa kuwa jana madiwani walipanga kukutana ili kujadili na kulipatia ufumbuzi tatizo hilo lakini cha ajabu magamba yakiongozwa na meya weo yakaingia mitini ili wananchi waendelee kuumia huku yenyewe yakija na hizi siasa za kichovu.kumbukeni kuwa wana arusha tunajitambua na tunajua hizi ni hila za magamba na upuuzi wa hii serikali yao chakavu.
Siwapendi CHADEMA sababu ya mapimbi kama akina Nanyaro Ephata , wanakaa kwenye kikao wanakubaliana jambo , halafu akifika kwa wananchi anajifanya hakuwa mmoja wa waamuzi wa hilo jambo! Huu ni utoto wa hali ya juu!
we tulia, utaipenda tu chadema, uhalo unaotoa utaisha tu, ccm mtaishi kwa wizi na uharamia mpaka lini? hata wewe unafahamu kuwa zenu zimeisha, sa hivi mnapiga kelele tu wala hamna lolote
Umeandika kama mwanamke mwenye hamu
Acha wehu wako wewe!
CHADEMA si kila siku inajitapa kuwa ndio inamiliki jiji la Arusha?
Leo baada ya tukio la kuvunjiwa, kudhalishwa, na kuibiwa mali zao na mgambo wa jiji, akina mama wetu pale JACARANDA unakana?
Acha mambo ya kitoto Ephata!