1. Muundo wa pikipiki ulivyokaa madereva wengi haupendi na unawaumiza sababu wanakitumia chombo kwa muda mrefu sasa ile kuinama muda wote mpaka jioni mgongo unauma.
2. Wanazipinda ili kutafuta pozi ambalo mabega na mgongo havitakuwa vimetanuka muda wote.
3. Side mirrors nyingi zinatolewa maeneo ya miji yenye foleni ili kuwasaidia kutogonga vyombo vingine vya usafiri wanapojipenyeza kwenye foleni.
4. Side mirrors ni sehemu pekee ya chombo isiyo na madhara kwenye chombo ikitolewa (ukiondoa usalama). ushawahi kuona pikipiki isyokuwa na headlamp, brake, bumper au mudguard?.