Wadudu kwenye Mahindi.

Joined
Oct 18, 2013
Posts
16
Reaction score
14
Wataalamu wa kilimo naomba msaada, mahindi yameshambuliwa na wadudu.
Wadudu hao hushambulia katikati ya jani tete linalo chipuka. Nitumie dawa gani ili ninusuru mahindi yangu na ya wengine maana ni msimu wa pili mfulululizo mahindi yanashambuliwa.
 
Tumia NINJA... Maelezo yote ya namna ya kutumia yapo humu kwenye dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…