Wadeni Sugu wa Nguvumali Karagwe Kufilisiwa

Rtbkazoba

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
261
209
TANGAZO:
WADENI SUGU WA NGUVUMALI KARAGWE KUFILISIWA

Mwenyekiti wa Chama cha Nguvumali Farmers Cooperative Society Ltd, cha S.L.P BOX 518 Karagwe Kagera, anawataarifu wadeni sugu wa chama kwamba, endapo watakuwa hawajarudisha mikopo wanayodaiwa na chama ndani ya siku 14 tangu leo, basi mali zao na mali za wadhamini wao zitakamatwa na kutuka kama fidia ya mikopo husika.

Wadeni husika ni: Asha Jumanne, Agnes Lucas, Wiston Ezekiel, Anthony Didas, Cyprian Bikonya, Pius Ludovick, Dontina Kikwasi, Dauson Samson, Editus Byekwaso, petra Mutesi, Lovenes Salvatory, Philbert Gashaza, Charles France, na Kilian Kasehe.

Wengine ni: Adventina Modest, Revelian Wibingire, Godson Faustin, Christina Benedicto, Joas Kainamula, Devota Kataraiya, Philmerick Kachweka, Bruno Damian, Lutenta Richard, Neema Zake, Dabson Beyanga, Jenipha James, na Moland Paschal.

Na wengine ni: Syldion Bukenya, George Burchard, Anastaz Begira, Sylvia Andrew, Anitha Arbogast, Fortunatus Biita, Hashim Sued, Apolinary Kyarwenda, Juvent Chamlesile, Happines Gosbert, Evodia James, Consolata Rukonge, Gilbert Cheyo, Omary Hamza, Athuman Daud, na Sued Suleiman.


Hivyo, uongozi wa Chama cha Nguvumali unawahimiza wahusika wote kulipa mikopo yao haraka ili kuepuka usumbufu unaweza kuwakumba.

Tangazo hili limetolewa na:
XAVERY FRANCIS
MWENYEKITI WA CHAMA CHA NGUVUMALI.
 
Back
Top Bottom