Wana arsenal walikuwa wameturingia sana kipind cha kwanza.ila sasa wanameza tu mate maana kikombe kimewatoka. polen sana arsenal ss psg sio level yenu.
Kwa watu ambao tuko neutral kama mimi naweza kusema PSG wametawala sana mchezo japo hawakuweza kulitia kashkash lango la Arsenal. Defence ya Arsenal ni bora kabisa. Hii mechi wangeweza kushinda kama wangekuwa na wachezaji wazuri wa counter attack. Kilichowaangusha Arsenal ni kupoteza simple pass na kutumia muda mwingi kujihami. Halafu wapiga penalti wazuri walitolewa kitu ambacho kimewaathiri.
Niliona mtu anadai ye ni shabikia wa psg nacheka sana, psg hawana mashabiki hapa bongo sema man u, lover, city, Chelsea, ndo wamechukia mafanikio ya arsenal