MJOMBA jr Member Joined May 19, 2018 Posts 49 Reaction score 20 Oct 7, 2018 #1 Mimi nikijana mjasiriamali elimu. Naomba mtu yeyote kwa hapa Dar pembezoni mwa mji mwenye jengo ambalo linaweza kufaa kufungua kituo cha mafunzo ya watoto wadogo chekechea na day care tuwasiliane tuongee kuhusu kukodisha jengo hilo. Karibuni.
Mimi nikijana mjasiriamali elimu. Naomba mtu yeyote kwa hapa Dar pembezoni mwa mji mwenye jengo ambalo linaweza kufaa kufungua kituo cha mafunzo ya watoto wadogo chekechea na day care tuwasiliane tuongee kuhusu kukodisha jengo hilo. Karibuni.
MJOMBA jr Member Joined May 19, 2018 Posts 49 Reaction score 20 Oct 7, 2018 Thread starter #2 KARIBUNI