Wadau wa elimu ninatafuta field

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,940
Nina ujuzi katika maeneo yafuatayo,
1. AutoCad
2. ArchiCad
3. Master Series
4. AutoCad Civil 3D
5. Excel n.k.

Nina matokeo mazuri, nina uwezo wa kufanya kazi vizuri kulingana na specifications. Ni mwaminifu kabisa na mchapa kazi.

Ninahitaji Upande wa majengo na barabara katika kampuni binafsi na hata taasisi za kiserikali (mf TANROADS, TBA, NHC au TARURA)

Kwa Engineers, Consultants, Clients au mtu yeyote anayeweza kuniunganisha na mahali ambapo ninaweza kupata field inayoendana na mambo Civil Engineering naomba uniunganishe.

Ninahitaji mahala pa kujifunzia na kupata uzoefu zaidi katika kazi. Natanguliza shukrani. Na muwe na siku njema.
 
Mmmh hadi engineering pamoto hadi field mnakosa
 
Wewe ni mwaka wa ngapi na upo chuo gani?
 
Bado sijapata wadau
 
Vamia site yeyote , omba mlinzi akuruhusu kuingia, kule ndani daka Engineer mmoja au msimamizi mpange 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…