Wadau Oral interview TPDC ni lini?

Wadau Oral interview TPDC ni lini?

OKA

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
6
Reaction score
1
wadau oral interview ya TPDC hivi itakua lini manake tunaona kimya tu
 
watu wa mikoani walipiga hesabu maximum kukaa hapa siku 3. sasa naona week hii inaisha kudadeki... hafu uambiwe oral tar 18, sijui utarudi kigoma hafu uje tena au utakausha hapa hapa?

najua humu tpdc mnapitaga pitaga.. wazee, sio wote kwao dar, watu wametoka mbali, bora mtoe matokeo ya kuanzia tar 08 na hao waliofahuru usaili waambiebi lini oral?
 
Back
Top Bottom