Komaa!
Oya umeshapata jibu la swali lako kule utambulisho!??
Wanajamvi naomba ushauri wenu, sasa nina miaka 28 nilibahatika kuanza mapenzi nilipoanza chuo mwaka 2006, nimeshakuwa na relation 4 tofauti tofauti, katika hz relation wawili nimewapata facebook, mmoja alinitokea yeye, mwingine nilipigiwa pande na mshkaji wangu,
Wote hawa nimekuwa nikimwaga sumu (kuapproach) through phone, huyu wa sasa nilipojaribu kumwaga sumu through phone alinichomolea kwa kigezo kuwa mpaka 2onane face 2 face ndo nitajieleza, kimbembe ilikuwa siku 2nakutana, nilikuwa kama nimemwagiwa maji, nikamwambia simple nakupenda nahitaji kuwa mpnz wako sina maneno mengi, bahati nzuri alikuwa amenikolea akanikubali, ila wanajamvi nishaurini manake hii foward yangu ilivyo butu, nashindwa kuelewa mbinu za kuinoa foward iweze kuforce magoli,
SIjakuelewa
Unamaanisha hujui kutongoza? ama mdudu haumi?
Anamaanisha yy ni mmoja ya wale bao moja chaliiiii kama ametoka kukimbia mbio za marathon!
Wewe ndo hujaelewa, napiga mzigo mbaya mim sio wa ushnd mwembamba kama nikifanikiwa kufika kwenye penalt box, ila tatizo ni mbinu za kufika eneo la hatari
oa huyo uliyenae kwa sasa,baada ya hapo nadhan huitaji ktongoza tena:shut-mouth:Wanajamvi naomba ushauri wenu, sasa nina miaka 28 nilibahatika kuanza mapenzi nilipoanza chuo mwaka 2006, nimeshakuwa na relation 4 tofauti tofauti, katika hz relation wawili nimewapata facebook, mmoja alinitokea yeye, mwingine nilipigiwa pande na mshkaji wangu,