Jangwani ni njia ya maji kupeleka baharini salenda ,Kajima na planners wa enzi hizo za mwinyi walikuwa vilaza,walishindwa kabisa kudesign barabara pale jangwani.
Mkuu kama umezaliwa miaka ya 2000 hauwezi kuijua KAJIMA.

Hahahaa nimekukubali ndio maana nikatoa angalizo ,kweli tunaongea lugha moja MECCO na KAJIMA makampuni kongwe kabla ya MAYANGA kuja Kutake OVER πππππ.