Wadau hapa hakuna upigaji kweli hapa...?

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,702
Reaction score
7,320
Wadau naona pamekaa kimchongomchongo sana.. alafu nimejaribu kama kutuma kupitia email Yao ila email yenyewe haieleweki wakuu mara inagoma dadeq..
Ichungulie vizuri hyo email Yao wakuu maana hawakawi hawa wenyewe tunaangaikia Ajira na wao wanatafuta fursa kupitia waangaikaji[emoji16][emoji16]
 
Kimbia mkuu hapa kuna upigaji wa wazi wazi. Recruitment ya worldvision inafanyika kupitia website yao na ina mlolongo hasa kama zilivyo kazi za UN. ...hivi huoni hata email yao ina domain ya hotmail, haya ni majambazi mkuu.
 
Aloandika tangazo mwenyewe kaishia darasa la saba….angalia tu uandishi
Mia moja kumi saba , setifiketi
 
bila Shaka utakuwa graduate wa Lita
 

Hotmail?!
 
Yaan kuna Tangazo nikiliona tu najua hapa hamna kitu Mkuu hao ni matapeli hakuna hyo ajira
 
bila Shaka utakuwa graduate wa Lita
Usikariri dogo.. kwanza hvyo vyuo vya Lita hata sivifahamu dogo. Sio Kila mada unayoona humu basi inamuhusu member husika.
 
Wewe una elimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…