Jamani hata kama huna uwezo wa kulipa nenda kahakiki deni lako Bodi, hali sio nzuri. Kinachoendela sasa ni kubambikiana madeni kulikokithiri, so usipoangalia utalipia hadi wadaiwa hewa.
Jamani hata kama huna uwezo wa kulipa nenda kahakiki deni lako Bodi, hali sio nzuri. Kinachoendela sasa ni kubambikiana madeni kulikokithiri, so usipoangalia utalipia hadi wadaiwa hewa.
Kwahiyo hata wa mtamba swala asafiri hadi dar kuhakiki deni?
Uwezo wasomi wetu kufikiri ukoje ..kwani waki.upload datasheet ya kiwango cha.deni kisha uhakiki online ukiwa na tatizo ndo uwapigie kuna tatizo?? Watu wa IT wanacheza zuma deluxe pale au??
Watu hawako creative kukusanya madeni...
Mambo ya ujima ndani ya karne ya sayansi na teknolojia!
Aangalie kama jina la cheti chake kilitumiwa na mtu mwingine akapata degree ajiandae kulilipa lote maana lile deni linachezaga na jina na index numbee ya o-level.