Wadada

Wadada

Claranito

Member
Joined
May 26, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Habari zenu wadada!

Utanashati unahusika hivyo naomba kujua ni sehemu gani au duka gani ambalo unaweza pata jeans nzuri na mavazi ya kiofisi.

Asanteni.
 
Wachaa wee,,umepata! Kazi au nzuri ya kwenda kupakata laptop au. .hongeraaa...nenda boutique za kariakoo ndo bei rahisii
 
Nenda Us kwenye maduka wanayonunua pamba kina Jigga?
 
Back
Top Bottom