Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,470
- 4,971
Mi saizi mashoga zangu hawanipigii simu kuniomba ushauri maana jibu langu ni moja. Kama hakupigi ngumi za kichwa na mateke ya tumbo tulia hata huko nje kugumu. Sasa tutasusa sehemu ngapi. Baba nanii wangu tuli date miaka mitano kabla ya ndoa ananijua namjua. Mi saizi kuanza maswala ya what is you favorite colour naweza kuchizika. Michepuko tuwape tu taarifa saizi hata mpige simu kwa wake za madanga yenu hawatoki na hawasusi🤣 labda huyo mke asiwe shoga angu🤣 tafuta na nyie wa kwenu muanze nae kum shape awe hiyo type. Kauli mbiu ni kwamba hakuna kususia nyumba wala watoto. 🤣Tatizo lenu mnasusaga Hadi kwenye nyumba, hapo ndipo hivyo VITOTO vinatumia udhaifu wenu kuwatoa ndani ya nyumba.
Sasa Mama mjengo ATI kisa Mumeo anachepuka unaamua kuondoka hapo nyumbani, unategemea nini hapo
AiseKuna wanaume pia wamehusika ninaandika list
😂😂😂 mwache tu ajitekenye, mbona tutacheka naeAu katunga story anataka kutuingiza na sie kwenye matatizo kibao kitugeukie?
Unique Flower ulikua na lengo gani, tafadhali kwa heshima na taadhima njoo hapa utueleze vizuri tukuelewe
Tena ataje tu herufi ya mwanzo ya jina sisi tutampa full details 🤣🤣🤣Sisi malegendaryyy
wanaa kadhaaa tunawajua
🤣🤣🤣 atupe kazi
Ama amtaje huyo bwana wao
Sekunde tunampa list ya wake wenzake
🤣🤣🤣 mapema sanaaa yanTena ataje tu herufi ya mwanzo ya jina sisi tutampa full details 🤣🤣🤣
Ndio ndioooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mapema sanaaa yan
Yani love usiandike sana ww watag tuHumu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha .
Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo kizuri basi unamganda anamke huyoo.
Ndio chanzo chakutukanwa mie wewe kinyago nakujua na nimegundua Kuna vinyago humu vinawashwa na Mimi.
Huyo aliyenitukana ni mwanamke ambaye anadhani nipo na jamaa zake sijajua humu watu wanalipiwagwa Kodi,shopping na wanatafutiwa michongo yakazi humu watu wamezaa na michepuko Yao .
Sasa mtu akiona ninavyochart naye anajua huyu jamaa anaongeza kitu Kwa taarifa yenu msinizoeee kabisa.
Namjua mmoja na wawili Hawa ndumilakiwili wanaojidai kuandika andika positive comments unadhani ni wapendwa kumbe vigroup vinajazana ujinga eti mie na wachukulia vizee vyenu . Sina time navyoo mjue.
Na kama kuchoka na mambo yake kila mtu anachoka na mambo yake
AnawaogopaYani love usiandike sana ww watag tu
Anawaogopa
Angewatag tukawaletea mitarumbeta tuAnawaogopa
Nimesoma comments nimecheka sana, ila hii yako nimeshindwa kupita bila kucomment 😅😅😅😅😅😅Something is not right, yaani kabisa naona maji ya kilimanjaro yamekosa ile taste ya kipindi mzee mengi akiwepo. We need an expert on distillation issues...
Andika wote usiogope.Kuna wanaume pia wamehusika ninaandika list
Na madera tutakopaAngewatag tukawaletea mitarumbeta tu
Mim sitoki nmeweka kambi.Na madera tutakopa
Unatokaje kwa mfanoMim sitoki nmeweka kambi.
Nguvu sina kabisa Ila maneno hata nitatafuta kweny kanga.
Unique Flower walete walete walete ndo kwanza tunaanza🙆