zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,219
Wadada warembo wao wamebobea kwenye kuchagua mavazi tu ya kumpendezesha lakini kwenye unyumba wazito sana,yaani panapo 6*6 wao hulala tu kama vile yupo matanga.
Mbona umefanya generalisation Zubedayo
Wanaleta udadadu mpaka kwenye mambo ya msingi siyo? Labda unaokutana nao hawajui na walitegemea mavunzo kutoka kwako...unamwambia kushoto, kulia tenaaa ....sasa wewe kila unaekutana nae unadhani dereva na malena pia wamejaa
Mimi ninachojua wadada warembo mara nyingi hununua vocha za bei rahisi na wana njaa sana. Hilo la uvivu bado sijakutana nae.
Heaven proove him wrong
Hhahahahahhah ila kuna wengine wako overspeed utaomba ukutane na huyo anaehesabu misumari ya bati huku wewe unajipimia...hatari sana, unamwona bint mrembo lakini kwenye shughuli ,ukimwelekeza twende kushoto una jibiwa utaharibu shepu yake
Hhahahahahhah ila kuna wengine wako overspeed utaomba ukutane na huyo anaehesabu misumari ya bati huku wewe unajipimia...
Heri huyo anaechat mwingine kitu ishazama we unategemea kuambia unaniumiza mbadala yake unaambia zamisha basi baby wakati wewe kila kitu ushamalizia huko...Sijui unajibu nini hapo?si afadhari huyo ,mwengine anakuachia kazi yote anakwambia baby we endelea mi nachati na group la tulosoma wote shule ya msingi.....hana muda kabisa.
Heri huyo anaechat mwingine kitu ishazama we unategemea kuambia unaniumiza mbadala yake unaambia zamisha basi baby wakati wewe kila kitu ushamalizia huko...Sijui unajibu nini hapo?
si afadhari huyo ,mwengine anakuachia kazi yote anakwambia baby we endelea mi nachati na group la tulosoma wote shule ya msingi.....hana muda kabisa.